Trezor Academy Session 2/3 Recap ⚡
Tarehe 21/02/2026,
Bikwa kushirikiana na #powa255 tuliendesha kwa mafanikio Session ya 2/3 ya #TrezorAcademy.
Katika session hii tuliangazia kwa undani: 🔐 Maana na matumizi ya custodial wallets 📤📥 Jinsi ya kutuma na kupokea Bitcoin 🛒 Matumizi ya Bitcoin katika maisha ya kila siku 💳 Namna ya kununua Bitcoin kupitia #Chapsmart
Washiriki walipata uelewa mpana zaidi kuhusu uhifadhi na matumizi sahihi ya Bitcoin kwa vitendo.
Usikose Session ya Mwisho (3/3) itakayofanyika tarehe 28/02/2026 pale pale Bitcoin Arusha Hub.
Karibu ujifunze, ukue na ujijengee uhuru wa kifedha kupitia Bitcoin 🚀
#BitcoinArusha #TrezorAcademy #BitcoinEducation #Powa255






