
POWA255⚡️🇹🇿
POWA255, 4/28/2026
POWA 255 ni mpango wa elimu ya Bitcoin kwa njia ya mtu kwa mtu (peer-to-peer) unaolenga kusambaza maarifa ya Bitcoin kwa kutumia lugha ya Kiswahili.
582 sats received

POWA255, 4/28/2026
WE ON 🔥⚡️🇹🇿
Loading quoted post…
JNHPP⚡️
Loading quoted post…
POW⚡️🇹🇿
Loading quoted post…
Trezor Academy Session 2/3 Recap ⚡
Tarehe 21/02/2026,
Bikwa kushirikiana na #powa255 tuliendesha kwa mafanikio Session ya 2/3 ya #TrezorAcademy.
Katika session hii tuliangazia kwa undani: 🔐 Maana na matumizi ya custodial wallets 📤📥 Jinsi ya kutuma na kupokea Bitcoin 🛒 Matumizi ya Bitcoin katika maisha ya kila siku 💳 Namna ya kununua Bitcoin kupitia #Chapsmart
Washiriki walipata uelewa mpana zaidi kuhusu uhifadhi na matumizi sahihi ya Bitcoin kwa vitendo.
Usikose Session ya Mwisho (3/3) itakayofanyika tarehe 28/02/2026 pale pale Bitcoin Arusha Hub.
Karibu ujifunze, ukue na ujijengee uhuru wa kifedha kupitia Bitcoin 🚀
#BitcoinArusha #TrezorAcademy #BitcoinEducation #Powa255







🎓 TREZOR ACADEMY – TANZANIA 🇹🇿 Bitcoin Education • Self-Custody • Security
🌍 #TrezorAcademy iko katika nchi 28 duniani ✨ Tanzania ni mojawapo!
📅 Mwezi wa Pili (Februari 2026) Bitcoin Arusha kwa kushirikiana na Powa 255 itaandaa muendelezo wa vipindi 3 vya Trezor Academy:
🗓 Tarehe: • 14 Februari-BITCOIN NI NINI
• 21 Februari-MATUMIZI YA BITCOIN
• 28 Februari- WATUMIAJI WENGINE WA BITCOIN WANAFANYA NINI?
📍 Mahali: Bitcoin Arusha Hub Jengo la Mega Complex floor ya Saba/WSHA Co-working space
📝 Jisajiri hapa kwaajiri ya session ya kwanza, Usajiri wa Session ya pili na ya tatu zitafata baada ya session ya kwanza kufanyika
🏅 Vyeti (Certificates) 🎁 Zawadi mbalimbali Zitatolewa kwa washiriki watakaohudhuria vipindi vyote vitatu kikamilifu
🤝 Imeandaliwa na: Powa255 x Bitcoin Arusha × Trezor Academy


Tarehe 23/01/2026, POWA 255 na
kwa kushirikiana na
walifanikisha mpango wa Reusable Menstrual Pads.
Katika mpango huu, pedi zinazoweza kutumika tena zilitengenezwa na kugawiwa kwa wanafunzi takribani 42 wa Shule ya Sekondari Manushi, iliyopo Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.
♻️📦 Pedi hizi zitawasaidia wanafunzi kuendelea kukaa shuleni kipindi chote cha hedhi kwa hadi miaka mitatu, bila vikwazo wala kukosa masomo.
🤝 Wewe pia unaweza kuwa sehemu ya mabadiliko haya Support kwa kumnunulia mwanafunzi mfuko mmoja wa pedi kupitia
Tunafuraha kuwatangazia kuwa tumepokea vitabu viwili vya “THE BITCOIN STANDARD” vilivyotafsiriwa kwa lugha ya kiswahili kutoka Nairobi Kenya🇰🇪
Shukrani za dhati kwa exonumia.africa kwa kazi yao kubwa ya kutafsiri na kuifanya elimu ya #Bitcoin ipatikane kwa urahisi zaidi na kuwawezesha watu wengi kujifunza kwa lugha yao mama.
Nakala moja ya vitabu hivi itatolewa shuleni ili kusaidia elimu na uelewa wa maswala ya fedha.
Nakala nyingine itabaki katika hub ya
kwajili ya jamii kusoma, kujifunza na kukua pamoja.
Hii ni hatua kubwa kuelekea kusambaza elimu ya #bitcoin Tanzania na barani Africa kwa ujumla. #BitcoinNiHela #bitcoinforeveryone



Jumamosi tarehe 17/01 tulifanya Banda letu la kwanza la P2P katika Hub ya
🇹🇿⚽️
Tuliuangalia derbi ya Man United dhidi ya Man City huku tukiwatambulisha
katika jamii yetu na kuelezea kwa nini #Bitcoin ya #peer-to-peer ina umuhimu mkubwa.
Tutapanga matukio zaidi ya kijamii ili kuimarisha mitandao ya P2P na kuukuza uchumi wa mzunguko wa #Bitcoin hapa kwetu.
Loading quoted post…
BITCOIN NI HELA
Loading quoted post…
Kesho tarehe 16 Januari, Bitcoin Arusha inaelekea Moshi kutembelea wanawake wanaotengeneza pedi za #HedhiHuru zinazoweza kutumika tena zikisaidia kuleta heshima, biashara za kienyeji, na athari chanya katika maendeleo ya elimu ya wanafunzi wa kike.💪🏾🧡
Loading quoted post…
inatengeneza taulo za kike zinazoweza kutumika tena na tena kwajili ya kuwasaidia mabinti hapa Tanzania kuhudhuria Masomo Yao bila vikwazo Wakati wa hedhi.
Kwa shilling elfu sabini na tano tu (Sawa na $30) unaweza kumsaidia binti mmoja kupata taulo hizi kwa matumizi ya miaka mitatu mfululizo.
Ni nafasi ya wewe kuwa sehemu ya mabadiriko. Kila mchango wako ni uwekezaji katika elimu na heshima ya msichana!!!!! #BitcoinForChange⚡️
Loading quoted post…
akiwa ndani ya
Hub hapa WSHA Co-working space Akiwa amevalia T-shirt yetu Spesho ya #BitcoinNiHela🧡
Hi ni zaidi ya style ni ujumbe wa mabadiriko ya kifedha! Karibu utumbelee hub yetu ujifunze kuhusu #Bitcoin, uhuru wa kifedha na mengi zaidi
📍Mega Complex floor ya Saba (WSHA CO-working space).
#bitcoinniHela #BitcoinArusha⚡️🧡 #POWA255⚡️

KARIBUNI SANAA!!!
Loading quoted post…
#SPEDN⚡🔥🙌
Loading quoted post…
Karibu tena Nyumbani Mr Kweks⚡
Loading quoted post…
Let's go #MrKweks⚡🚀
Loading quoted post…
#bitcoin ni maana sahihi ya value for value⚡🚀
Loading quoted post…
HABARI ZA ASUBUHI👋 #SPEDN⚡
Loading quoted post…
HABARI ZA ASUBUHI FAMILIA YA #BITCOIN
Loading quoted post…
HABARI ZA ASUBUHI ☕ #KweksToTokyo #nostrasia2025
Loading quoted post…
Baada ya session ya #BitcoinNiNini #02 watu walipata nafasi ya kunetwork na kushare experiences na washiriki wengine waliovutiwa na Bitcoin ⚡
Ambapo hussein, abdully na jacob walipata muda mzuri wa kumuuliza
maswali kuhusu Bitcoin na kupata insights moja kwa moja kutoka kwa Bitcoin OG🙌🧠
Hii ndiyo nguvu ya community — kujifunza pamoja na kukua pamoja! Karibuni tena kwenye meetup zetu zijazo! 🧡
Powered by
#BitcoinNiHela
#Powa255
#BitcoinEducation
#spedn #iBuild iDream
#BitcoinArusha



#BitcoinNiNini #02
Tarehe 26/09/2025, tuliandaa meetup ya pili ya #Bitcoin Ni Nini#02 hapa Arusha! 🙌
Katika meet up hii tulijadili kwa undani kuhusu custodial wallets kwa kutumia silabasi ya Trezor Academy. Ilikuwa ni session ya kipekee na shirikishi kwani washiriki walijifunza kwa vitendo namna ya kutuma na kupokea Bitcoin! ⚡📲
Tunawashukuru sana wote mliojitokeza. Karibuni tena kwenye #Bitcoin Ni Nini #03 mwezi wa 11. Tarehe rasmi itatangazwa hivi karibuni! 🧡
Powered by
📷
📷
#Powa255 #BitcoinNiHela
#BitcoinEducation #HODL
#Spedn #iBuild #iDream
#ArushaBitcoin




Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni leo kuanzia mida ya saa kumi mpaka saa kumi na mbili jioni Usipange kukosa mshtue na mwenzio tuje tujifunze kwa pamoja teknolojia hii mpya ya kifedha⚡⛏️
#POWA #BitcoinEducation #ArushaTanzania #nostr #Bitcoin⚡⛏️🚀
KARIBUNI SANAA!!!!
Loading quoted post…
Imesalia siku moja 🔥🔥🔥
Loading quoted post…
TANGAZO
Hey guys, mnaendeleaje? Tunatumaini mko powaa kabisa!
Mwezi huu wa tisa, POWA255 tunarudi tena na muendelezo wa meet up yetu ya Bitcoin itakayofanyika tarehe 26/09,
Mahali ni stendi kuu ya mabasi Arusha jengo la Mega Complex floor ya saba/WSHA Co-working space
Usikose! Jisajili bure kupitia link hapa chini ili uweze kushiriki.
Karibuni sanaa – usipange kukosa!
Regards — POWA255⚡
Imesapotiwa na
#POWA255 #BitcoinEducation #ArushaTanzania #spedn #Nostriches #Nostr #Bitcoin


Maandalizi yamekamilika sasa ni muda wa kuanzaa
Kwa mnaoendelea kuja karibuni sana🔥



#BITCOIN NI NINI? #01
Yamebaki masaa machache tuu tuanze mkutano wetu wa Bitcoin karibuni sanaa ndg jamaa na marafiki tujumuike pamoja katika kujifunza na kunetwork
#Bitcoin kwa kila mtu🔥⛏️
#POWA255 #BitcoinEducation #ArushaTz


Zimesalia siku 3🔥
#POWA255 #BITCOIN #ArushaTz🇹🇿 #swahiliLand
Loading quoted post…
Zimesalia siku4 kuelekea mkutano wetu wa kwanza wa #bitcoin endelea kijisajiri bure kwa link hapa chini ili kushiriki
Karibuni sana tujifunze kuhusu #Bitcoin #BitcoinNiHela #POWA255 #ArushaTz #BitcoinaEducation
Loading quoted post…
POWA255 tunayofuraha kufanya mkutano wa kwanza wa Bitcoin (Bitcoin Ni Nini #01)
Katika mkutano huu tutaangazia mambo muhimu kama vile -Bitcoin ni nini -kwanini bitcoin -Waleti za bitcoin -na namna ya kutuma na kupokea bitcoin
Mkutano huu utafanyika tarehe 29/08/2025 jengo la Mega Complex floor ya saba/WSHA Co-working space Bites and drinks will be available.
Ili kushiriki mkutano huu jisajiri bure kupitia link hapa chini
Nyote mnakaribishwa!!!.
#POWA #Bitcoin #Arusha #Tanzania🇹🇿 #POWA255

