#BITCOIN NI NINI? #01
Yamebaki masaa machache tuu tuanze mkutano wetu wa Bitcoin karibuni sanaa ndg jamaa na marafiki tujumuike pamoja katika kujifunza na kunetwork
#Bitcoin kwa kila mtu🔥⛏️
#POWA255 #BitcoinEducation #ArushaTz


POWA 255 ni mpango wa elimu ya Bitcoin kwa njia ya mtu kwa mtu (peer-to-peer) unaolenga kusambaza maarifa ya Bitcoin kwa kutumia lugha ya Kiswahili.
582 sats received
Filtering by: 01 · clear filter
#BITCOIN NI NINI? #01
Yamebaki masaa machache tuu tuanze mkutano wetu wa Bitcoin karibuni sanaa ndg jamaa na marafiki tujumuike pamoja katika kujifunza na kunetwork
#Bitcoin kwa kila mtu🔥⛏️
#POWA255 #BitcoinEducation #ArushaTz


POWA255 tunayofuraha kufanya mkutano wa kwanza wa Bitcoin (Bitcoin Ni Nini #01)
Katika mkutano huu tutaangazia mambo muhimu kama vile -Bitcoin ni nini -kwanini bitcoin -Waleti za bitcoin -na namna ya kutuma na kupokea bitcoin
Mkutano huu utafanyika tarehe 29/08/2025 jengo la Mega Complex floor ya saba/WSHA Co-working space Bites and drinks will be available.
Ili kushiriki mkutano huu jisajiri bure kupitia link hapa chini
Nyote mnakaribishwa!!!.
#POWA #Bitcoin #Arusha #Tanzania🇹🇿 #POWA255

